Rais wa Marekani Barack Obama.

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.
Mpango huo utaathiri karibu robo ya billioni ya dollar ya bidhaa za Afrika kusini zinazo safirishwa nchini Marekani.
Obama amechukua hatua hiyo kwa vile Afrika Kusini imeendelea kuweka vikwazo kwa wafanyabiashara wa Marekani.




Afrika Kusini ilipiga marufuku kuagiza mazao ya kuku mwezi Disemba kutokana na kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa mafua ya ndege na kwa miaka kadhaa imekuwa ikitoa adhabu ya kodi kwa baadhi ya bidhaa za kuku kutoka Marekani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment