KAMA HUJUI HUYU NDIYE SAMAKI MWENYE HUZUNI NA MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI

Blobfish ni  samaki wa aina yake, kwani anamuonekano wa ajabu na pia nchini Uingereza humuita samaki chura na nchini Australia hujulikana kwa jina la Goby, samaki huyu huishi katika kina kirefu cha maji ya baharini.



Hata hivyo samaki huyu pia ni mfupi chini ya sentimita 30 na anapatikana katika fukwe za bahari nchini Australia na Tasmania vilevile hupatikana New zealand.


Pia samaki huyo huwa na rojorojo ambalo linakuwa na kama viputo kwa ndani, hata hivyo samaki wa haina hii wapo katika hatari hatari ya uharibifu kutokana na ukweli kuwa wavua samaki wa Australia pamoja na Tasmania wanawavua sana samaki hawa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment