Shirikisho la Soka Ulaya UEFA limekamilisha upangaji wa ratiba ya mechi za robo fainali ya ligi ya mabingwa iliyofanyika katika mji wa Nyon, Switzerland

Katika ratiba hiyo Real Madrid itacheza na Atletico Madrid huku Barcelona wao wakiwa na kibarua kigumu dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) ambayo iliwawekea ngumu na kuwaondoa Chelsea kwenye michuano hiyo.

 
FC Porto watakutana na Bayern Munich nao Juventus wakiwa na kibarua kikali dhidi ya AS Monaco ya Ufaransa iliyoiondoa Arsenal.
 
Makundi yapo hivi.

PSG Vs BARCELONA
ATLETICO Vs REAL MADRID
FC PORTO Vs BAYERN MUNICH
JUVENTUS Vs AS MONACO
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment