DRAKE ATEMBEA NA MPENZI WAKE LIL WAYNE

Drake kushoto akiwa na Lil Wayne wakifurahi pamoja.

Msanii wa muziki wa rap nchini Marekani Lil Wayne alikuwa tayari kumshambulia msanii mwenza na rafikiye Drake kwa kumuendea kinyume na mpenzi wake,kulingana na taarifa ya kitabu anachoandika

Jarida la TMZ nchini Marekani,lilipata taarifa ya mapendekezo ya kitabu hicho ambayo yametumwa katika wachapishaji kadhaa.
Wayne anadai kwamba wakati alipokuwa akihudumia kifungo chake jela katika kisiwa cha Rakers kwa kumiliki bunduki bila kibali.
Inadaiwa kuwa Drake alimtembelea akiwa jela na kukiri mbele yake kwamba ali lala na mpenzi wake.
Lil Wayne alisema :Hiki ni kitendo ambacho mwanamume ambaye yuko jela hapendi kusikia kwa sababu ni mungu anayejua ni nini ningelifanya iwapo ningekuwa nje.
Wayne alikiri katika mapendekezo hayo kwamba yeye na mpenzi wake walikuwa wakigombana sana ndipo Drake akamwambia kwamba alilala naye.

Hatahivyo Wayne anasema kuwa mwanamke huyo alimwambia kwamba alifanya mapenzi na Drake siku moja kabla ya kukutana na Wayne.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment