ARSENAL YATINGA NUSU FAINALI YASUBIRI KUCHEZA NA BRADFORD AMA READING

Danny Welbeck akishangilia goli lake baada ya kuifunga timu yake ya zamani nakuipeleka arsenal katika hatua ya nusu fainali kombe la FA.

Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la FA, Arsenal wanatarajiwa kupambana na Bradford City au Reading katika hatua ya nusu fainali baada ya kuiondoa Manchester United kwa bao 2 kwa 1

Katika mchezo mwingine wa nusu fainali ya michuano hiyo Aston Villa wao watakwaana na mshindi kati ya Liverpool au Blackburn Rovers.
Reading na Bradford zinatarajiwa kucheza mchezo wao wa marudiano wa robo fainali Machi 16 huku mchezo baina ya Blackburn na Liverpool ukiwa bado haujathibitishwa siku utakayochezwa.
 
Mechi za nusu fainali zote zinatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Wembley April 18 na 19 mwaka huu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment