UEFA : REAL MADRID, SCHALKE 04, FC PORTO, FC BASEL VIWANJANI

 


Michuano ya Klabu Bingwa barani ulaya leo inaendelea ambapo FC Porto ya Ureno itamenyana vikali na FC Basel ya Uswis



Katika mechi ya awali timu hizo zilitoka sare ya goli moja kwa moja.
Mechi nyingine ya kukata na shoka ya michuano hiyo hii leo itakuwa ni kati ya Real Madrid ya Hispania v Schalke 04 ya Ujerumani.
 
Real Madrid wana nafasi kubwa ya kusonga mbele kwani katika mechi ya awali waliifunga Schalke 04 , nyumbani kwao 2 -0.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment