Kikosi cha timu ya Kano Pillarsambacho kimeshambuliwa kwa risasi.

''Wachezaji watano walijeruhiwa kutokana na shambulizi la risasi .Wachezaji hao ni Gambo,Ogbonaya,Eneji Otekpa na Murtala Adamu'', ulisema ujumbe wa mtandao wa twitter wa kilabu hiyo

Wapiganaji hao pia walichukua simu pamoja na vitu vyengine muhimu vya wachezaji hao.
Mechi iliyokuwa ichezwe siku ya jumamosi kati ya timu hiyo na ile ya Heartland imeahirishwa mara moja.
Klabu hiyo ya Kano Piilars ilikuwa ndani ya basi lililowabeba wachezaji 25,ikiwemo wachezaji 18,wakati wa tukio hilo lililotokea mwendo wa saa saba na robo saa za Nigeria.


Wachezaji waliojeruhiwa kwa sasa wanaendelea kupokea matibabu katika kituo cha matibabu cha Lokoja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment