JIDE; NILIKUA NAJISHUSHIA HESHIMA KUISHI NA MUME ASIYE NA HESHIMA

Lady Jay Dee

Moja ya Majibu ya Lady Jay Dee Alipoulizwa Swali hili : Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume?,,,

JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshma zaidi kuishi na mume asiye na heshima, anayeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mimi
niko jukwaani naimba.

Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini . Ukiachilia mbali vipigo.
Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment