Kim kardashian

Mke wa msanii Kanye West nchini Marekani mwana mitindo Kim Kardashian West amekiri kwamba licha ya kuvaa nguo zinazowavutia wengi ulimwenguni yeye hujikojolea katika suruali zake za ndani zinazozuia mikojo..
''Mimi hujikojolea kila mara,ni janga kwa kweli'',.huwa hazina mwanya wa kutosha kuniwezesha kukojoa alisema mwanamke huyo maarufu wakati wa mahojiano na jarida la Love ambapo baadaye alipigwa picha akiwa uchi.
Hata hivyo dada yake Kardashian, Kourtney naye alijotokeza na kusema si Kim pekee anayejikojolea hata yeye pia.
Kim: ''Kourtney alikuwa amezidisha tabia hiyo''Ninakumbuka tulikuwa katika hoteli ya Delano mjini Miami -nadhani hawataturuhusu tena kwenda katika hoteli hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment