Cristiano Ronaldo mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno.


Aliyekuwa msaidizi wa kocha wa Manchester united Mike Phelan anaamini kuwa Cristiano Ronaldo huenda akaandikisha mkataba wa kurudi katika kilabu ya Old Trafford katika siku sijazo.

Ronaldo amehusishwa na mpango wa kurudi Manchester United katika muda wake katika klabu ya Real Madrid ,lakini mpango kama huo haujazaa matunda kufikia sasa.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ambaye aliichezea Man U anafurahia maisha yake katika klabu ya Real Madrid lakini Phelan anaamini huenda akashawishika kurudi katika ligi ya Uingereza.




Credit; BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment