Kisiwa cha Pemba nchini Tanzania kimekuwa maarufu kwa kilimo cha karafuu visiwani Zanzibar kwa miaka mingi tangu enzi za utawala wa Kiarabu visiwani humo.

Hata hivyo zao hilo limekuwa likikumbwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za kushuka kwa bei ya karafuu katika soko la dunia na hivyo kuathiri uchumi wa Zanzibar.
Katika kukabiliana na hali hiyo, serikali ya Zanzibar imekuwa ikitilia umuhimu sekta ya utalii, ambapo huko kisiwani Pemba kumejengwa hoteli ya aina yake, ambayo moja ya vyumba vyake kimejengwa chini ya bahari na kupambwa kwa vitu nili kuleta muonekano mzuri na unaovutia .





Credit; BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment