mheshimiwa ZITTO KABWE akiwa katika moja ya hotuba zake bungeni mjini DODOMA Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni jana ilimlipua mbunge kutoka kambi yao, Zitto Kabwe ikimhusisha na ufisadi wa Sh119 milioni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa). Hii ni mara ya kwanza kwa kambi ya upinzani kumhusiaha mbunge ‘mwenzao’ na tuhuma za ufisadi tofauti na kawaida yao ya ‘kuwashughulikia’ ubadhirifu katika Serikali. Zitto, mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema na ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), anadaiwa kuchota fedha hizo kupitia kampuni ya Leka Dutigite ambayo ina hisa nyingi katika kampuni nyingine ya Gombe Advisors Limited ambayo Zitto ni mkurugenzi wake. Akiwasilisha maoni ya upinzani bungeni jana kuhusu makadirio na matumizi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo mwaka 2014/15, waziri kivuli wa wizara hiyo, Joseph Mbilinyi alisema Zitto hakutakiwa kuchota fedha hizo kwa kuwa anabanwa na sheria ya maadili ya viongozi wa umma. Alisema Zitto, ambaye katika miezi ya karibuni aliingia kwenye mgogoro na uongozi wa chama chake, ni mwenyekiti wa PAC, kamati ambayo jukumu lake ni kushughulikia maeneo yenye matatizo sugu ya matumizi mabaya ya fedha za umma katika wizara na mashirika ya umma, yakiwamo Tanapa na NSSF, hivyo kulikuwa na mgongano wa kimasilahi katika suala hilo
Nimefundishwa
kutodhihaki watu na hasa watu wanaonizidi umri na siasa zangu sio za
dhihaka bali za masuala (issues). Kupitia kwa ndugu Mbwambo naomba radhi
kwa wote walioona kuna dhihaka katika
andiko langu. Sikuwa na nia ya kumdhihaki Waziri Muhongo. Nia yangu ni
kuonyesha kuwa Waziri Muhongo alichokifanya ni kuwacheza shere
Watanzania, kwa kuwaambia maneno ambayo yeye mwenyewe alikuwa anaamini
kuwa hayawezekani.
http://www.youtube.com/watch?v=HRpjFELvJAU&list=UUo62COCtNCT90823kxZhk6ATaarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Eliakim Maswi, ilithibitisha kauli yangu siku chache tu baada ya kuitoa. Mbwambo kaandika makala yake kana kwamba hapakuwa na kauli ya kufuta maneno ya Waziri. Ninaamini Mbwambo aliiona kauli ile lakini aliamua kupuuza ili kujifurahisha na imani yake kwa Prof. Muhongo na mawaziri aliowataja kwenye makala yake kwamba ni mawakala wa mabadiliko. Mbwambo anaamini kabisa kwamba ndani ya utawala wa CCM, kuna mawaziri wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/watanidharau-watanicheka-watapambana-lakini-nitashinda#sthash.q8i2mXhA.dpuf
Nimefundishwa
kutodhihaki watu na hasa watu wanaonizidi umri na siasa zangu sio za
dhihaka bali za masuala (issues). Kupitia kwa ndugu Mbwambo naomba radhi
kwa wote walioona kuna dhihaka katika
andiko langu. Sikuwa na nia ya kumdhihaki Waziri Muhongo. Nia yangu ni
kuonyesha kuwa Waziri Muhongo alichokifanya ni kuwacheza shere
Watanzania, kwa kuwaambia maneno ambayo yeye mwenyewe alikuwa anaamini
kuwa hayawezekani.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Eliakim Maswi, ilithibitisha kauli yangu siku chache tu baada ya kuitoa. Mbwambo kaandika makala yake kana kwamba hapakuwa na kauli ya kufuta maneno ya Waziri. Ninaamini Mbwambo aliiona kauli ile lakini aliamua kupuuza ili kujifurahisha na imani yake kwa Prof. Muhongo na mawaziri aliowataja kwenye makala yake kwamba ni mawakala wa mabadiliko. Mbwambo anaamini kabisa kwamba ndani ya utawala wa CCM, kuna mawaziri wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/watanidharau-watanicheka-watapambana-lakini-nitashinda#sthash.q8i2mXhA.dpuf
Nimefundishwa
kutodhihaki watu na hasa watu wanaonizidi umri na siasa zangu sio za
dhihaka bali za masuala (issues). Kupitia kwa ndugu Mbwambo naomba radhi
kwa wote walioona kuna dhihaka katika
andiko langu. Sikuwa na nia ya kumdhihaki Waziri Muhongo. Nia yangu ni
kuonyesha kuwa Waziri Muhongo alichokifanya ni kuwacheza shere
Watanzania, kwa kuwaambia maneno ambayo yeye mwenyewe alikuwa anaamini
kuwa hayawezekani.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara yake, Eliakim Maswi, ilithibitisha kauli yangu siku chache tu baada ya kuitoa. Mbwambo kaandika makala yake kana kwamba hapakuwa na kauli ya kufuta maneno ya Waziri. Ninaamini Mbwambo aliiona kauli ile lakini aliamua kupuuza ili kujifurahisha na imani yake kwa Prof. Muhongo na mawaziri aliowataja kwenye makala yake kwamba ni mawakala wa mabadiliko. Mbwambo anaamini kabisa kwamba ndani ya utawala wa CCM, kuna mawaziri wenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko. - See more at: http://www.raiamwema.co.tz/watanidharau-watanicheka-watapambana-lakini-nitashinda#sthash.q8i2mXhA.dpuf |
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment