ARGENTINA YAONGOZA UBORA WA VIWANGO DUNIANI



Kikosi cha timu ya Taifa ya Argentina
Shirikisho la mpira wa miguu duniani Fifa limetangaza ubora wa viwango kwa mwezi Agosti ambapo timu ya taifa ya Argentina imeendelea kushika nafasi ya kwanza.

Kikosi cha timu ya Taifa ya Ubelgiji
Ubelgiji imepanda kwa nafasi moja mpaka nafasi ya pili huku mabingwa wa dunia Ujerumani wakiwa katika nafasi ya tatu.

Kikosi cha timu ya Taifa ya Ujerumani

Timu ya juu kabisa toka Barani Afrika ni Algeria ambayo ipo pale pale Nafasi ya 19 na kufuatiwa na Ivory Coast waliobakia Nafasi ya 21.
Timu za ukanda wa Afrika mashariki zinaongozwa na Uganda walioko nafasi ya 74,Rwanda wakiwa katika nafasi ya 91 Kenya 116,Burundi wakishika nafasi ya 132 na Tanzania wakiwa latika nafasi ya 140.

Na hapa ni orodha ya timu kumi bora duniani kwa mwezi Agosti kama ambavyo imetolewa na Fifa.

1. Argentina
2. Belgium (Imepanda  1)
3. Germany
4. Colombia
5. Brazil (Imepanda nafasi 1)
6. Portugal (Imepanda nafasi 1)
7. Romania (Imepanda nafasi 1)
8. England (Imepanda nafasi 1)
9. Wales (Imepanda nafasi 1)

10. Chile (Imepanda nafasi 1)
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment