Wachezaji wa Liverpool Danniel Sturrige (kushoto) na Adam lallana wakishangilia.


Liverpool ambao ni mabingwa mara saba walitoka nyuma na kuishinda Crystal Palace na hatimaye kufuzu kuingia katika robo fainali ya kombe la FA,,

Fraizer Campbell alikuwa ameiweka timu yake Crystal Palace kifua mbele baada ya kichwa cha Dwight Gayle kupanguliwa na kipa wa Liverpool Simon Mignolet.
Lakini Danniel Sturridge alisawazisha baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Jordan Henderson.
 
Adam Lallana alifunga bao la ushindi akipokea pasi iliyopigwa na Mario Balotelli.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment