CONGO DR YAIADHIBU CONGO BRAZAVILLE

 

DR Congo ilitoka nyuma na kuishinda Congo kwa mabao 4-2 na kufika katika hatua ya nusu fainali ya mechi za kombe la Afrika..

Congo DR ilitoka nyuma 2-0 na kuishinda Congo katika mechi iliyokuwa na kasi na mchezo mzuri kutoka pande zote mbili.
Ferebory Dore alifunga krosi safi huku Thievy Bifouma akifanya mabao kuwa 2-0.
Katika dakika ya 16 Diermerci Mbokani alifunga bao la kwanza ,kabla ya Bolika kufunga bao la pili naye Joel Kimuaki akafunga bao la tatu.
Mbokani aliwazunguka tena mabeki wa Congo na kufunga bao la nne na la ushindi katika shambulizi la ghafla na kufanya timu yake kutinga hatua ya nusu fainali katika michuano hiyo ya kombe la Afrika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment