Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho.


Meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho amemuomba radhi mwamuzi Kevin Friend baada ya kumkosoa kwa
kuwanyima penati katika mchezo wa Kombe la FA ambao walishinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Watford jana.
Mourinho alidai kuwa uamuzi wa kunyimwa penati baada ya Craig Cathcart kushika mpira uliopigwa na Diego Costa kuwa ni sehemu ya kampeni za kuikandamiza timu yake.
Lakini baadae Mourinho alibadili kauli yake na kumpongeza mwamuzi huyo kwa kuchezesha vyema.
Mwamuzi huyo alifafanua uamuzi wake kuwa aliwanyima penati Chelsea kwani mshambuliaji huyo alifunga bao pamoja na mpira kushikwa na kama ingetokea bao kutofungwa angekuwa hana jinsi bali kutoa penati.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment