Mwanamke akiendesha gari huku akionekana kuwa na furaha zaidi ndani ya gari hilo.
Wanawake wawili wa Saudi Arabia waliokamatwa kwa takriban mwezi mmoja kwa kukiuka marufuku ya wanawake kuendesha magari nchini humo wamepelekwa katika mahakama inayosikiliza kesi za ugaidi.

Mawakili wa wanawake hao wamekata rufaa dhidi ya uamuzi huo.
Mmoja wao Loujain Hathloul alikamatwa baada ya kujaribu kuendesha gari kuingia katika ufalme huo kutoka umoja wa milki za kiarabu.
Maysaa Alamoudi mwandishi kutoka milki za kiarabu aliwasili katika mpaka huo kumsaidia Hathloul na ndipo akakamatwa.
Baadhi ya watu wa karibu wa wanawake hao wawili wanasema kuwa wanashtakiwa sio tu kwa kukiuka marufuku hiyo bali kwa maoni yao walioweka katika mitandao ya kijamii..
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment