Polisi nchini Tanzania wanasema kuwa wamewakamata watu saba kutokana na kutekwa nyara kwa msichana mmoja albino.

Msichana huyo wa miaka 4, Pendo Emmanuelle Nundi alitekwa siku ya jumamosi kutoka nyumbani kwao katika jimbo la kaskazini la Mwanza.
Msemaji wa Polisi Valentino Mlowola amesema kuwa baba yake mtoto huyo ni miongoni mwa wanaochunguzwa ,ili kujaribu kujua iwapo bado yuko hai.
Utafiti wa Umoja wa Mataifa unasema kuwa takriban albino 74 wameuawa nchini Tanzania ambapo vipande vya miili yao huuzwa kama vivutio vya bahati kwa takriban dola mia sita.




Credit; BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment