ROGER FEDERER AJIONDOA MICHUANO YA ATP

Mbabe wa Tenis Roger Federer amejiondoa kwenye Fainali ya michuano ya dunia ya ATP ambapo alikua anatarajiwa kuchuana na Novak Djokovic.
Imeelezwa kuwa chanzo cha kujitoa ni maumivu ya mgongo aliyokua akiyapata....

Mswiss huyo alijitokeza hadharani kwenye uwanja wa 02 Arena mwenyewe na kutangaza kuwa hayuko tayari kucheza .

Federer alimshinda Stan Wawrinka kwa 4-6 7-5 7-6(8-6) siku ya jumamosi katika mchezo wa kusisimua wa nusu fainali ambao ulichezwa kwa saa mbili na dakika 48.




Credit; BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment