CHINA YAONGEZA MSAADA WA KUPAMBANA NA EBOLA

China imeongeza msaada wake katika shughuli za kupambana na Ebola Afrika Magharibi kwa kutuma wafanyakazi wa utabibu 160 huko Liberia.

Wafanyakazi wa utabibu ambao wengi wao ni wanajeshi, watawekwa katika kituo cha ukaguzi na matibabu kilichojengwa na China yenyewe katika mji mkuu wa Liberia, Monrovia.
Ubalozi wa China ulieleza kuwa wafanyakazi hao waliowasili hivi karibuni walipata uzoefu wa kutibu homa ya SARS ilipozuka Asia zaidi ya miaka 10 iliyopita.
China imekuwa ikilaumiwa kuhusu janga la Ebola - kwamba haikutoa msaada wa kutosha na msaada wenyewe unachelewa.






Credit; BBC
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment