PATRICK VIEIRA AORODHESHWA KUINOA NEWCASTLE




Aliyekuwa mchezaji wa Arsenal na Manchester City Patrick Vieira ameorodheshwa miongoni mwa watu wanne wanaotarajiwa kuchukua ukufunzi wa klabu ya Newcastle nchini Uingereza.

aliyekuwa kocha wa Derby Country Steve McCleren

Steve McCleren aliyefutwa kazi na Derby County wiki iliyopita pia ameorodheshwa.
Ukaguzi wa ni nani anayefaa kuchukua wadhfa huo utaanza wiki hii huku Vieira ambaye ndio kocha wa vijana wasiozidi umri wa miaka 21 akiwa yuko tayari kujipima nguvu katika ligi hiyo ya Uingereza.


Vieira alishinda kombe la dunia na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka 1998, mbali na mataji matatu ya ligi pamoja na mataji manne ya FA.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment