NEW; NAVY KENZO FT. YOUNG D SIKILIZA & DOWNLOAD HAPA

safe_image

 Navy Kenzo ni moja ya makundi machache ya Bongo Fleva ambayo yanafanya vizuri kwa sasa.. ngoma zao kama Moyoni, Usinibwage, I Just Wanna Love You na nyingine zao ziko kwenye list ya zilizofanya poa.
Safari hii wamekuletea hii collabo mpya waliomshirikisha Rapper Young Dee inayoitwa ‘Visa’ huku producer aliyetengeneza ngoma hiyo ni Nahreel.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment