LIVERPOOL YAINYUKA MANCHESTER CITY


Phillipe Coutinho alifunga bao la ushindi na kuiwezesha Liverpool kuharibu matumaini ya Man city kulitetea taji lake katika uwanja wa Anfield
Bao la Jordan Henderson liliiweka Liverpool mbele kabla ya Edwin Dzeko kusawazisha.
Lakini Mchezaji wa Brazil Coutinho alipachika bao la kuvutia alipofunga kutoka nje ya eneo la hatari.
 

Matokeo hayo yanaiweka Mancity pointi 5 nyuma ya Chelsea huku wakiwa wamecheza mechi moja zaidi nayo Liverpool ikipanda hadi nafasi ya tano katika msimamo wa ligi hiyo ya Uingereza.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment