Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney (kulia) akijaribu kumtoka mchezaji wa Burnley.

Baada ya kutoka sare ngumu dhidi ya wagonga nyundo wa London, Manchester United leo ilijitupa katika uwanja wake wa nyumbani kucheza dhidi ya Burnley..

Mchezo huo ambao ulianza kwa balaa baada ya United kumpoteza beki wake Phil Jones ambaye kutokana na majeruhi lakini dakika chache baadae walipata goli la kuongoza kupitia beki aliyebadilishana na Chris Smilling.
Lakini dakika 3 katika dakika ya 11 ya mchezo Danny Ings aliisawazishia Burnley kwa goli safi la kichwa.
Sekunde kadhaa kabla ya mapumziko – Chris Smalling kwa mara ya pili akaipa United goli la kuongoza.
Kipindi cha pili Burnley walijaribu kusawazisha lakini juhudi zao hazikuzaa matunda baada Angel Di Maria kusababisha penati na Robin Van Persoe akaweka kimiani goli la 3.
 
Kwa ushindi huo United wamepanda hadi nafasi ya 3 kwenye ligi wakiwa na pointi 47.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment