waandamanaji wa HONG KONG wakivurumishiwa mabomu ya machozi

Makumi kwa mamia ya waandamanaji wa Hong Kong wanaendelea na maandamano yao kwa siku nyingine tena baada ya kudhoofisha maeneo muhimu ya jiji hilo wakati wa mchana. 

Waandamanaji hao sasa wanamtaka Mkuu wa utawala wa Hong Kong LEUNG CHUN-YING ajiuzulu..
Wakati huo huo MAREKANI imesema inafuatilia kwa karibu kinachoendelea HNG KONG na imeutaka utawala kuchukua hatua.
Katika mkutano wa wanahabari msemaji wa Ikulu ya Marekani JOSH EARNEST amesema Marekani inaunga mkono matakwa ya watu wa HONG KONG.
"Duniani kote, na hii ni kweli katika Hong Kong na maeneo mengine, Marekani inaunga mkono kimataifa, uhuru, kama vile uhuru wa kukutana kwa amani na uhuru wa kujieleza. Marekani inautaka utawala wa Hong Kong kuchukua hatua, na kwa upande wa waandamanaji kutoa maoni yao kwa amani"
Credit; bbc


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment