![]() |
Viazi Mbatata. |
Msichana mmoja nchini Colombia
ametoa kubwa na kali ya mwaka baada ya kukizamisha kiazi mbatata sehemu
zake za siri na kiazi hicho kuanza kuchipua humo ndani, na binti huyo
alifanya uamuzi huo kwa minajili ya njia ya uzazi wa mpango
Tatizo la binti huyo lilijitokeza wakati binti huyo alipokwenda klinik huku akilalamikia maumivu yasiyokuwa ya kawaida,na nesi alipomfanyia uchunguzi aligundua mizizi inayochipua ikichungulia kutoka kwenye sehemu zake za siri.
Baada ya kuzuru kliniki,na kupita wiki mbili kiazi kilianza kuota na kuchipua mizizi na kukua. Lakini kiazi hicho kiliondolewa na binti huyo hakupata athari zozote katika njia yake ya uzazi.

Njia zisizo sahihi na hatari za uzazi wa mpango bado zinaendelea kutumika ulimwenguni kote hasa na mabinti wadogo wanaojihusisha na ngono za utotoni.
0 comments :
Post a Comment